У нас вы можете посмотреть бесплатно Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa kawaida mtoto anaweza kucheza kuanzia Mara 3 mpaka Mara 100 ndani ya saa 1! Tafiti nyingi zilionesha ya kwamba kupunguza kwa kucheza kwa mtoto tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari zaidi ukilinganisha na mtoto kuongezeka kucheza tumboni. Japokuwa tafiti za miaka ya hivi karibu zimeonesha kwamba 10% - 30% ya Wajawazito walio jifungua watoto waliofariki au Mimba ambazo watoto walifia tumboni akina Mama hao wali ripoti historia ya kuongezeka kucheza kwa mtoto ghafla tumboni. Mjamzito tambua ya kwamba mtoto huongezeka kucheza kadiri Mimba inavyokuwa tokea umeanza kuhisi mtoto anacheza tumboni na kufikia wiki ya 32 ndipo mtoto hucheza zaidi kuliko kawaida baada ya hapo huweza kupunguza kucheza au kuendelea kucheza kawaida mabadiliko hayo ni ya kawaida kabisa. Mambo yanayopelekea mtoto kuanza kucheza zaidi ya kawaida ghafla huwa inaweza ashiria hatari kwa mtoto. Na mambo yanayopelekea hivyo ni Kama ; 1. Hofu ya Mjamzito. 2. Matumizi ya Caffeine kwa Mjamzito 3. Upungufu wa hewa kwa mtoto akiwa tumboni(asphyxia) ambao huweza pelekea Dege Dege kwa mtoto akiwa tumboni. 4. Kujifunga au kubanwa kwa kondo la nyuma (cord entanglement). 5. Magonjwa Fulani ya kuambukizwa kutoka kwa Mama kwenda kwa mtoto akiwa tumboni. NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇 / drmwanyika Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube). Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika. #MamaAfya #Mtotokuchezazaidi #DrMwanyika