У нас вы можете посмотреть бесплатно Maswali na Majibu Septemba 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika session hii iliyofanyika 24 Septemba 2025, SOLOMON ilichukua fursa ya kujibu maswali mbali-mbali kuhusu uwekezaji katika soko la mitaji na dhamana za serikali (Hisa, Hatifungani, Uwekezaji wa mifuko ya pamoja - UTT AMIS, FAIDA FUND). Maswali haya yaliwasilishwa na wawekezaji mbalimbali kupitia njia ya kielektroniki(Google Forms). 00:00 - Utangulizi 00:01:15 - Malipo kuchelewa kufanyika 00:05:00 - Changamoto ya DSE Hisa Kiganjani 00:07:09 - Sababu ya bei ya Hisa Kushuka 00:10:34 - Gharama za Makato ya nunuzi/uuzaji 00:14:07 - Hisa zinazofanya vizuri kwa sasa 00:16:19 - Kubadili taarifa kupitia DSE Hisa Kiganjani 00:19:14 - Je, wawekezaji wa kigeni wanawza kuwekeza? 00:22:00 - Utumiaji wa Hisa kama Dhamana 00:23:35 - Utangulizi wa Uwekezaji katika Hisa 00:29:42 - Namna ya kupata Bei ya Hisa 00:35:43 - Kununua Hisa kama Kikundi 00:37:48 - Utafiti kabla ya Kuwekeza 00:38:45 - Ushauri katika kuwekeza kwenye Hisa 00:40:27 - Holdings kutosomeka 00:41:50 - Hatifungani 00:52:13 - Mifuko ya Pamoja(UTT AMIS) 01:03:25 - Maswali ya Ziada