У нас вы можете посмотреть бесплатно Kipindi 07, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kipindi 07, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Ushuhuda wa Kupitia wa Wakristo Katika Kanisa la Ufilipino: Jinsi Hukumu ya Maneno ya Mungu Huwaweka Huru Kutoka kwa Minyororo ya Umaarufu, Faida, na Hadhi Wakristo katika Kanisa la Mwenyezi Mungu nchini Ufilipino wamesikia sauti ya Mungu na wamekuja mbele ya kiti Chake cha enzi kwa kujisalimisha. Wananunyiziwa, wanapewa riziki, na wanachungwa kibinafsi na Mwenyezi Mungu, na wamehudhuria karamu ya ufalme wa mbinguni. Wanakubali hukumu na utakaso wa maneno ya Mungu, na wamekuja kutambua kwamba tabia zao potovu ndicho chanzo kikuu cha dhambi zao na kwamba kufuatilia umaarufu, faida na hadhi ni njia isiyo sahihi. Wametubu kweli na wameanza kutekeleza wajibu wa kiumbe aliyeumbwa kwa njia ya kutenda mambo halisi. Wameona tumaini la kuokolewa. 00:26 Mambo Muhimu 00:57 Maelezo ya Mwenyeji 04:59 Mwanahabari Eneo la Tukio 06:33 Onyesho la Densi: "Furaha Iliyoje Katika Maisha ya Kanisa" 08:06 Kusoma Maneno ya Mwenyezi Mungu 15:23 Dada May Ashiriki Uzoefu Wake: Jinsi ya Kuwatendea Watu Walio Bora Kuliko Mimi 29:34 Wimbo wa Maneno ya Mungu: "Katika Enzi ya Ufalme Mungu Anakamilisha Mwanadamu Kwa Maneno" 30:26 Dada Noe Ashiriki Uzoefu Wake: Kutoka Kujizuia Hadi Kujitolea Kikamilifu, Sitafuti Tena Kuwa Mtu Pekee Anayeng'aa