У нас вы можете посмотреть бесплатно ANAYEDAIWA KUHUSIKA na UHALIFU MORO AACHIWA HURU BILA DHAMANA, RC ATUMA UJUMBE KWA IGP WAMBURA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ANAYEDAIWA KUHUSIKA na UHALIFU MORO AACHIWA HURU BILA DHAMANA, RC ATUMA UJUMBE KWA IGP WAMBURA... Ikumbukwe kuwa kwa siku za hivi karibuni Global tv tuliripoti juu ya tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40 mkazi wa Kiyegea A manispaa ya Morogoro amenusurika kifo Baada ya kuvamiwana na kubakwa na watu watatu kisha kumuingilia kinyume cha maumbile sambamba na kuchoma moto nyumba yao lakini kufuatia kwa kusussua kwa jeshi la polisi mkoani Morogoro kunamlazimu mkuu wa mkoa wa Morogoro FATMA MWASA kusikitishwa na tukio la kuachiliwa huru wahusika wa tukio hilo la kikatili kwa njia za panya mmoja wa mtuhumiwa wa tukio la ubakaji,ulawiti pamoja na kushambulia. MWASA amesema kitendo hicho kilichofanywa na askari wa jeshi la polisi ni tukio lisilokubalika na kumuomba mkuu wa jeshi la polisi kufanya mabadiliko ya baadhi ya askari wake ndani ya mkoa huo sambamba na kumuomba haje katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya kufanya uchunguzi juu ya matukio hayo kutokana na uwepo wa kujirudia rudia kwa matukio ndani ya mkoa wa Morogoro ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline