У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.03.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.03.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa kwenye shambulizi la Iran. Trump asema uongozi wa Iran unataka mazungumzo na yuko tayari. Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vyazidi kupamba moto huku Iran ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani na Israel katika kanda hiyo. Tumekuandalia yanayojiri katika vita hivyo. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.