У нас вы можете посмотреть бесплатно REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU NI HATIMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 15. 02. 2024. HII NI KWARESMA: SIKU YA 2 UJUMBE WA LEO: "NIDHAMU NI HATIMA" "DISCIPLINE IS DESTINY" "ZITAFAKARINI NJIA ZENU" "CONSIDER YOUR WAYS" NENO KUU: HAGAI 1 : 7 7 Bwana wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu. Luka 23 : 39 - 43 39 Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi. 40 Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo? 41 Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa. 42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. 43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi. Meaning of DISCIPLINE: Collins Dictionary: The quality of being able to behave and work in a controlled way which involves obeying particular rules or standards. NIDHAMU: Ni ubora wa kuweza kutenda na kufanya kazi kwa njia iliyodhibitiwa ambayo inajumuisha kufuata sheria au viwango maalum." Mhubiri: Rev. Dr, Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053