У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI KUANZA UJENZI WA DARAJA LA MZINGA NA UPANUZI WA BARABARA YA MBAGALA KUPUNGUZA MSONGAMANO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametembelea eneo la daraja la Mzinga Mbagala wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, kukagua maandalizi ya ujenzi wa miradi mikubwa inayolenga kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo. Miradi hiyo ni upanuzi wa barabara kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe yenye urefu wa Kilometa 3.8 kwa kiwango cha lami na ujenzi wa daraja jipya la Mzinga. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri Ulega amesema miradi hii ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kutatua changamoto za msongamano jijini Dar es Salaam.