У нас вы можете посмотреть бесплатно 'NIMECHUKIZWA NA MKANDARASI'-RC MRINDOKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KATAVI: Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka kibaoni hadi Sitalike mkoani Katavi bado unasuasua ambapo hadi sasa una asilimia 16 na unazaidi ya miaka minne kinyume na mkataba wa awali. Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amefika katika halimashauri ya Mpimbwe mkoani humo ikiwa ni sehemu ya kukagua hali ya utekelezaji wa barabara hiyo ambapo amechukizwa na hatua za ujenzi huo huku akiagiza wakala wa barabara TANROADS mkoani Katavi kuhakikisha usimamizi unaongezeka. Mbunge wa jimbo la Kavuu ambaye pia ni naibu waziri wa fedha Laurent Luswetula amesema mara kadhaa amekua akitembelea eneo hilo la ujenzi na kusisitiza utekelezaji wa haraka lakini wenye viwango lakini bado mkandarasi haoneshi uzalendo wa dhati. Meneja wa wakala wa barabara TANROADS mkoani Katavi mhandisi Martin Mwakabende amesema licha ya mkandarasi huyo kulipwa pesa lakini bado utekelezaji wake wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka kibaoni hadi Sitalike hauridhishi.