У нас вы можете посмотреть бесплатно KEMIKALI YAMUUA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katavi: Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari St. Mary's iliyopo Manispaa ya Mpanda Luis Emmanuel (17) amefariki baada ya kunywa kemikali akiwa na wenzake wawili inayodhaniwa kuwa ni ethanol wakiwa katika maabara ya shule hiyo. Wanafunzi hao watatu waliokuwa kidato cha nne katika shule hiyo walikuwa wakifanya usafi katika maabara ya kujifunzia masomo ya sayansi kwa vitendo iliyopo shuleni hapo huku wakisimamiwa na mwalimu John Mtafya ambaye alitoka nje kuendelea na shughuli nyingine za kimasomo aliwaacha wanafunzi hao wakiendelea na usafi,ndipo walipoingia katika chumba cha kuhifadhia kemikali ambapo walichukua kemikali hiyo ya ethanol na kuinywa na baada ya kumaliza usafi waliendelea na masomo pasipo kusema chochote. Wanafunzi wengine Evangelist Deodatus (20) mpaka sasa anaendelea na matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi na Anastasia Zakayo (17) hali yake inaendelea vizuri.