У нас вы можете посмотреть бесплатно TANGANYIKA IKO TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI 2026. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KATAVI: Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Onesmo Buswelu mnamo tarehe 24/12/2025 amefanya ziara ya kutembelea ujenzi na uboreshaji wa miundombinu kwa baadhi ya shule za msingi na sekondari. Katika hatua hiyo, ameridhishwa na hatua za ujenzi wa madarasa, mabweni na maabara ambapo amewasisitiza wakandarasi kuhakikisha kabla ya januari 2026 ujenzi uwe umekamilika kwa asilimia zote. Aidha Buswelu amewakumbusha wazazi na walezi kusherehekea sikukuu ya krismas na mwaka mpya wa 2026 padipo kusahau kufanya maandalizi ya wanafunzi kwa kununua mahitaji muhimu ikiwemo sare na daftari.