У нас вы можете посмотреть бесплатно 'FANYENI SHUGHULI MLIZOKUSUDIA-DC BUSWELU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KATAVI: Zaidi ya milioni 251 zimetolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ikiwa ni mkopo wa sehemu ya asilimia kumi ya mapato ya ndani ndani ya halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi. Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amesisitiza vikundi hivyo kufanya shughuli zenye tija zaidi ambapo amewata kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali ikiwemo mikopo hiyo. Aidha amewaasa vijana kujikita katika shughuli za kilimo kwani serikali inaendelea kuboresha sekta hiyo ikiwemo kutoa pembejeo na mbegu za mazao mbalimbali ikiwemo mbegu za ufuta. Kwa upande wake afisa maendeleo wa halimashauri hiyo Halima Kitumba amesema kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali watahakikisha wanaendelea kutoa elimu ya biashara sanjari na kuwaonesha fursa muhimu ikiwemo kilimo kwa vijana.