У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kukua Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SHERIA: Leo Julai 26, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetolea hukumu kesi iliyofunguliwa na Wakili Boniface Mwabukusi dhidi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili Mahakama imetengua maamuzi ya kamati ya rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya kamati ya rufani iliyomuengua. Uchaguzi wa Rais wa TLS unatarajiwa kufanyika mapema Agosti, 2024 Soma https://jamii.app/MwakubusiKugombeaUr... #JamiiForums #SocialJustice #CivilRights