У нас вы можете посмотреть бесплатно NEEMA YASHUKA HOSPTALI YA RUFAA YA MOUNT MERU ARUSHA YAPOKEA VIFAA VYA KISASA VYA KUTIBU MIFUPA.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NEEMA YASHUKA HOSPTALI YA RUFAA YA MOUNT MERU ARUSHA YAPOKEA VIFAA VYA KISASA VYA KUTIBU MIFUPA.. Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Arusha ,Mountmeru yafanikiwa kupata vifaa tiba vya upasuaji wa mifupa kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake vyenye gharama ya zaidi ya sh.milioni 400. Akikabidhiwa vifaa hivyo,Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo,Dkt.Alex Ernest amesema kabla ya ujio wa vifaa hivyo wagonjwa waliopata ajali na kuvunjika mifupa walikuwa wanapewa huduma ya kwanza nakuhamishwa hospitali nyingine zenye huduka hiyo. Aidha amesema kuwa vifaa hivyo vimetolewa na serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma lengo ni likiwa ni kutoa huduma kwa wagonjwa wanaovunjika mifupa. "Hupatikanaji wa vifaa hivi utatuwezesha kuwahudumia wananchi waliopata matatizo ya ajali kwa haraka zaidi na kwa ufanisi zaidi nakuwasaidia kupona kwa muda mfupi,"amesema Mganga Mfawidhi