У нас вы можете посмотреть бесплатно Mgogoro wa uchimbaji dhahabu watokota katika kaunti ya Pokot Magharibi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mgogoro unaonekana kutokota katika kaunti ya Pokot Magharibi baada ya baadhi ya viongozi kutoka sehemu hiyo kupinga kile kinachodaiwa kuwa hatua ya mwekezaji mmoja ya kuwazuia wakazi kutekeleza shughuli katika maeneo ya uchimbaji dhahabu huko Lami Nyeusi na Kambi Karaya. Mbunge wa Pokot Kusini David Pkosing, akitetea haki za wachimbaji wadogo wadogo wa madini, alisema hakuna atakayeruhusiwa kusababisha mgawanyiko miongoni mwa jamii ya wachimbaji ambao wameshiriki kikamilifu katika shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu ili kupata riziki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.fa6ebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #railaodinga