У нас вы можете посмотреть бесплатно NDOA ZIPO HATARINI MSIMBATI MTWARA| RUWASA WAJA NA SULUHISHO KUPITIA MRADI HUU WA MAJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Msimbati na Mtandi kata ya Msimbati mkoani Mtwara, wamesema Ndoa zao zipo hatarini kutokana na kuwepo kwa shida ya Maji hali inayowalazimu Wanawake kutoka Alfajiri kwenda kutafuta maji na kuwaacha waume zao wakiwa wamelala ambapo Wanaume hao wameonesha kutokuwa na imani na Wanawake zao. Lakini Ndoa zao sasa zinaenda kuimarika baada ya Serikali kupeleka Mradi mkubwa wa Maji wa Mitambo Msimbati, Uliogharimu TSH Bilioni 2.1 unaotekelezwa na RUWASA wilaya ya Mtwara, ambao unatarajiwa kukamilika mapema mwezi wa nane mwaka huu. Faida Online TV tumefika kwenye Kata hiyo ya Msimbati na kuzungumza na Wananchi. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU.