У нас вы можете посмотреть бесплатно ''MTACHIMBA MAKABURI MOMBASA'' KAULI YA KAMANDA WA POLISI UKANDA WA PWANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#news #trending #reels Hisia mseto zimeendelea kutolewa miongoni mwa wakaazi wa Kaunti ya Mombasa, kufuatia tamko la Kamanda wa polisi ukanda wa pwani, Ali Nuno, aliyetoa agizo kwa maafisa wa usalama kutumia nguvu kali ikiwemo "Kupiga risasi" dhidi ya wahalifu hatari "Panga Boys" Wakaazi waliozungumza na runinga hii wameeleza maoni tofauti; baadhi wakiunga mkono hatua hiyo wakisema inalenga kurejesha usalama na kulinda maisha ya raia, huku wengine wakionya kuwa agizo hilo linaweza kukiuka haki za binadamu iwapo halitatekelezwa kwa uangalifu. Kauli hizi zinajiri baada ya video inayosambaha mitandaoni kuonyesha mhudumu wa duka eneo la Mtwapa akivaamiwa na genge la vijana waliojihami kwa panga na silaha butu waki mshambulia.