У нас вы можете посмотреть бесплатно SHOOT TO KILL YAUNGWA MKONO MOMBASA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jamii ya Old Town pamoja na wakaazi wa Mombasa kwa ujumla wameitaka idara ya polisi katika kaunti ya Mombasa kuhakikisha ulinzi unaimarishwa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani unaotarajiwa kuanza tarehe 18 mwezi huu. Wakaazi hao, wakirejelea visa vya utovu wa nidhamu vinavyodaiwa kufanywa na vijana wanautumia silaha za “Mapanga”, wamewataka polisi kuchukua hatua madhubuti ili kudumisha usalama katika kipindi hicho cha ibada. Wakizungumza katika Makao Makuu ya Polisi Ukanda wa Pwani walipowasilisha ombi lao kwa Kamanda wa Polisi wa Ukanda wa Pwani, Ali Nuno, wakaazi hao pia waliwataka wanaharakati wa haki za binadamu kusalia kuwa huru na wa haki wanapotetea masuala ya kijamii. #fypp #fypage #fypシ゚ #news #trendingshorts #reels 🔴 Website: www.alhaajar.tv 📲 Facebook | YouTube | My Al-Haajar App 🔗 Download the Al-Haajar App today for a seamless viewing experience. Available on both Google Play Store & Apple App Store. 📢 Stay Connected: 📷 Instagram: @alhaajartvkenya 🐦 Twitter (X): @alhaajartvkenya 📘 Facebook: @alhaajartvkenya ▶️ YouTube: @alhaajartvkenya 🎵 TikTok: @alhaajartvkenya 🌎Website: www.alhaajar.tv 🔥 LIKE, SHARE & SUBSCRIBE for more inspiring content! ©️ Al-Haajar TV Kenya 2026 #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ #alhaajartvkenya #fypシ゚viral #news #reels #tz #kenya #tanzania #mombasa #empowerment #freepalestine #movie #palestine #live #friday #jummamubarak