У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ikulu #raissamia #uvccmtaifa #rcmwanza #uvccmmwanza #ikuluzanzibar #rsmwanza #wazirimkuu #tamisemi #wizarayaujenzi #wizarayamamboyandani #wizarayaelimu #bot #mamboyandani #mamboyanje #bungedodoma #bungelatanzania #equitybank #aqualiaprojectsolutions #dodomajiji #dodomakwanza Wahandisi wa ndani nchini, wameiomba serikali chini ya Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwapatia zabuni inapoanzishwa miradi ya ujenzi wa meli, ili kuipunguzia serikali mzigo wa matumizi ya fedha kwa kutumia wakandarasi wa kigeni. Kabla ya wasilisho hili, wahandisi hawa wanaishukuru serikali kwa kutambua mchango wao katika ujenzi wa meli ya Mv. New Mwanza, chini ya usimamizi wa wataalam wa meli kutoka nchini Korea ya Kusini, waliokuwa wakishirikiana nao. Baada ya meli mpya ya Mv. New Mwanza kukamilika, mwakilishi wa wahandisi wazawa William Basiga, kutoka Aqualian Project Solutions, amesema kuwa uzoefu walionao kitaaluma. unatosha kulisaidia taifa kuepuka matumizi ya fedha nyingi. Mchambuzi wa masuala ya uchumi Martin Rajab, amesema kuwa uwepo wa meli hii utasaidia kuinua uchumi wa taifa na kuhamasisha biashara kati ya mikoa ya Mwanza, Kagera, Kenya na Uganda, na hivyo kuwataka wananchi kuchangamkia fursa hiyo.