У нас вы можете посмотреть бесплатно TCRA YAANIKA MATAPELI (Tuma kwa Namba hii) /LAINI ZA WALIOFARIKI ZATUMIKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA ), Dkt. Jabir Bakari amewataka Watanzania kuendelea kuhakiki laini zao za simu wanazotumia ili kupunguza Wimbi kubwa la Utapeli unaoendelea (tuma kwa namba hii) ambao umekua ukiwaumiza watu wengi. Kwa Mujibu wa Taarifa ya TCRA ya Mwezi March mwaka huu imeonyesha Mikoa inayoongoza kwa matukio ya utapeli kupitia laini za simu ni Rukwa kwa asilimia 45 morogoro kwa asilimia 18 Dar Es Salam kwa Asilimia 14 Mbeya kwa asilimia 7. Katika Taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya mamlaka hiyo na mwelekeo wa utekelezaji wa mwaka wa Fedha 2023/24 iliyotolewa Jijini Dodoma Dkt Bakari amesema kuwa wananchi wanapaswa kuwa makini na maelekezo wanayopewa kwa njia ya simu kutoka kwa watu wasio wafahamu na kuendelea kuhakiki laini zao za Simu.