У нас вы можете посмотреть бесплатно HII ISIKUPITE MDAU!!! SERIKALI YAWEKA MIKAKATI HUU KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA FOLENI KIBAHA - CHALINZE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amebainisha mikakati ya muda mfupi inayotekelezwa na Serikali ili kupunguza changamoto ya foleni katika barabara ya Kibaha–Chalinze hadi Morogoro. Ulega amesema hayo leo tarehe 28, Januari 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Pwani Mhe. Hawa Mchafu aliyehoji hatua zilizofikiwa katika ujenzi wa barabara ya njia nane pamoja na mikakati ya muda mfupi ya kuondoa foleni katika barabara hiyo.