У нас вы можете посмотреть бесплатно RC Kagera katoa saa 72 kwa wafugaji Kagera kutekeleza agizo lake или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa mkoa Kagera Meja jenerali mstaafu Salum Kijuu ametoa siku tatu kuanzia march 19 2017 kwa wafugaji ambao wana mifugo katika misitu ya hifadhi na mapori ya akiba ya Biharamulo,Burigi na kimisi kuondoa mifugo yao mara moja kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Meja Kijuu amesema kuwa kufuatia ziara aliyofanya march 16 mwaka huu katika mapori hayo amebaini uharibifu mkubwa wa misitu,shughuli za kilimo zinazoendeshwa katika maeneo hayo na alijionea makundi makubwa ya ng’ombe kiasi kwamba yanatishia kutoweka kwa wanyamapori na uoto wa asili.