У нас вы можете посмотреть бесплатно UKIOTA NDOTO JUU YA SHULE (CHUO) ULIPO MALIZIA INA MAANA HIZI KIBIBLIA! NA NINI UFANYE HARAKA! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UKIOTA NDOTO JUU YA SHULE (CHUO) ULIPO MALIZIA INA MAANA HIZI KIBIBLIA! NA NINI UFANYE HARAKA! NDOTO juu ya shule ama chuo uliko MALIZIA inaashiria kurudi nyuma au kufeli MAISHANI. Ila kama uliota na UNAONA uko sawa hakuna tatizo na Wala hauna MASHAKA hii ina MAANA KWAMBA Kuna vitu ulivipuuza au ulivikwepa UNAHITAJI uvisome au uvifanye. lakini kama UNAONA baada ya NDOTO una wasiwasi, MASHAKA , HOFU na kukata TAMAA ina MAANA ni ROHO ya kukurudisha nyuma na kukuhitaji usifanikiwe. Tafadhari nakuomba USIACHE ku subscribe kwenye chaneli hii Ili UWE WA kwanza kujifunza Ili mungu akubariki na kukufungu. USIACHE kujiungamanisha na MADHABAHU hii Ili mungu azidi KUKUINUA na kukufanikisha KIRAHISI MNO. aksante Sana 🙏🙏🙏