У нас вы можете посмотреть бесплатно ZANZIBAR: ASKARI AFARIKI, MOTO UKITEKETEZA GHALA YA MAFUTA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ajali ya moto uliotokea katika Ghala dogo la kuhifadhia mafuta katika Makao Makuu ya Kikosi cha Kuzia Moto na Uokozi Zanzibar KZU kimesababisha Askari mmoja wa kikosi hicho alifahamika kwa jina Ismail Mohamed Chum Kufariki Dunia wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi kwenye ghala hiyo kabla ya kuanza kwa moto huo Akithibitisha kutokea kwa Ajali ya Moto huo Kamishna wa Kikosi Cha Zima Moto na Uokozi Zanzibar CP Rashid Mzee Abdalla amesema moto huo umeanza kuwaka leo (Alkhamis 23 Disemba,2021) majira ya Saa 9:30 Alasiri katika Makao Makuu ya Kikosi hicho iliyopo Kilimani Mjini Unguja Amesema baada ya kutokea kwa moto huo ambao umewaka hafla huku juhudi za kuuzima moto huo zilichukuliwa huku bado athari kamili haikufahamika ZANZIBAR: ASKARI AFARIKI BAADA YA KULIPUKIWA NA MOTO KWENYE GHALA NDOGO YA MAFUTA... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm