У нас вы можете посмотреть бесплатно "Dalali atakae Warubuni Wakulima kwa Kununua Ufuta kwa Tsh 1000 Akamatwe"DC Namtumbo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Bi Ngollo Malenya amewataka madalali wa zao la ufuta kuacha tabia ya kuwarubuni wakulima wa zao la ufuta ili wauze ufuta wao kwa bei ya shilingi 1000 bei ambayo inamnyonya mkulima na kama atatokea dalali akawarubuni wakulima hao serikali itamchukulia hatua kali dalali huyo. Hayo ameyasema kwenye mnada wa kwanza wa zao la ufuta uliofanyika katika kijiji cha Limamu wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo wakulima kwa mara ya kwanza kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani wameuza ufuta huo kwa bei ya shilingi 3700 na wakulima wameomba mfumo huo uendelee kuwepo kwakuwa umewasaidia kupata bei nzuri ya kuuza ufuta wao. SiteNews