У нас вы можете посмотреть бесплатно 2- Darsa | Kitaabu Sswiyam - AlFiqhul-Muyassar | Ustadh Abdulrashed Alhilaly حفظه الله или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Silsila Ya Darsa Za Kitabu cha Swiyām katika Fiqhul Muyassar kwa jumla inaelezea maana ya saumu, hukumu yake, masharti na nguzo zake, mambo yanayobatilisha na yanayoruhusu kuacha saumu, pamoja na hikima na adabu za ibada hii kwa mujibu wa Qur’ani na Sunnah kwa mtindo mwepesi na unaoeleweka. 2-Darsa Ya pili| Swaumu ni ibada ya kujizuia na kula, kunywa na mambo yanayobatilisha kuanzia alfajiri mpaka machweo kwa nia ya kumtii Allah, na imegawanyika katika swaumu ya faradhi kama ya mwezi wa Ramadhani na swaumu ya sunnah kama ya Jumatatu na Alhamisi; kufunga Ramadhani kuna fadhila kubwa kwani ni nguzo ya Uislamu kama ilivyobainishwa na Muhammad ﷺ, na anayefunga kwa imani na kutarajia thawabu husamehewa madhambi yake na ameandaliwa mlango wa Peponi uitwao Ar-Rayyan, na miongoni mwa hikma zake ni kukuza taqwa, kufundisha subira na nidhamu, kuwakumbusha hali ya maskini na kusafisha nafsi; na swaumu humwajibikia Muislamu aliyebaleghe, mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kufunga bila udhuru wa kisheria kama ugonjwa au safari. 🕌Masjid Ummu Salama Utawala Nairobi 24/08/1447H 12/02/2025M #شرح_كتاب_الصيام_من_الفقه_الميسر #Kitabu_swiyyam _alFiqhul_Muyassar Ustadh_Abdulrashed_alhilaly