У нас вы можете посмотреть бесплатно 4- Darsa | Kitaabu Sswiyam - AlFiqhul-Muyassar | Ustadh Abdulrashed Alhilaly حفظه الله или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Silsila Ya Darsa Za Kitabu cha Swiyām katika Fiqhul Muyassar kwa jumla inaelezea maana ya saumu, hukumu yake, masharti na nguzo zake, mambo yanayobatilisha na yanayoruhusu kuacha saumu, pamoja na hikima na adabu za ibada hii kwa mujibu wa Qur’ani na Sunnah kwa mtindo mwepesi na unaoeleweka. 4- Darsa Ya Nne | nyudhuru zinazoruhusu kufungua katika Ramadhani, ni kama ugonjwa unaodhuru au kuchelewesha kupona, safari ya kisheria, hedhi na nifasi kwa wanawake, ujauzito au kunyonyesha kwa khofu ya madhara, pamoja na uzee mkubwa au ugonjwa wa kudumu. Mwenyezi Mungu amesema: “Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini basi atimize idadi katika siku nyingine.” (Qur'an 2:185). Mwenye udhuru wa muda kama ugonjwa au safari atalipa siku alizokosa baada ya Ramadhani, na mwenye udhuru wa kudumu kama uzee mkubwa atalisha masikini kwa kila siku (fidya). Masjid Ummu Salama Utawala Nairobi 26/08/1447H 14/02/2025M #شرح_كتاب_الصيام_من_الفقه_الميسر #Kitabu_swiyyam _alFiqhul_Muyassar Ustadh_Abdulrashed_alhilaly