У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 18.02.2026 | Swahili News или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 18.02.2026 | Swahili News na miongoni mwa yaliyomo ni pamoja na: Iran na Urusi kufanya luteka ya kijeshi ya majini katika Bahari ya Oman na sehemu ya kaskazini ya Bahari ya Hindi siku ya Alhamisi. Wajumbe wa majadiliano wa Urusi na Ukraine wamekutana mjini Geneva katika mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Marekani, lakini hadi sasa hakuna dalili za mafanikio ya haraka. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahilimchana #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.