У нас вы можете посмотреть бесплатно Mfungo Mtakatifu: Waislamu na Wakristo Waungana kwa Toba na Tafakari | DW Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ramadhan imeanza! Kwaresma pia! Maana na Safari Hiyo Ya Kiroho ni gani? Kwa Wakristo, hii ni Jumatano ya Majivu—mwanzo wa safari ya siku 40 za Kwaresma, wakati wa tafakari, toba na matendo mema. Kwa Waislamu, baada ya mataifa kadhaa kama Saudi Arabia, Bahrain na UAE kutangaza kuonekana kwa mwezi, wameanza mfungo wa siku 30 wa Ramadhan. Mataifa mengine kama Kenya, Uganda na Tanzania huenda yakaungana kuanzia kesho. Licha ya tofauti za kiimani, kila mmoja wetu yupo kwenye safari ile ile: kujisafisha, kujikaribisha kwa Muumba, kufanya mema, na kuonyesha upendo kwa binadamu wote. ✨ Wewe je? Umejiandaa vipi kwa kipindi hiki kitakatifu? Umeanza safari yako ya kiroho kwa namna gani? Tizama mjadala huu w avideo kisha utuandikie maoni yako hapa chini #dwhabarimotomoto #dwkiswahili #kwaresma2026 #ramadhan2026