У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#LIVE || ADHIMISHO MISA TAKATIFU YA MAZIKO YA MAREHEMU PADRE MACHA - USA RIVER - JIMBO KUU ARUSHA. • Karibu tushiriki Misa Takatifu ya Maziko na kumwombea Marehemu Padre Daniel Macha kutoka USA RIVER , Jimbo kuu la Arusha. Misa Takatifu inaadhimishwa na Mhashamu Robert Kimario Askofu Mkuu wa Jimbo katoliki la Same akishikiaana na Mapadre mbalimbali akiwemo Mkuu WA Shirika la Roho Mtakatifu, Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. #karibu endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha KANISA TV ili iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine waweza kutuunga mkono kutuma chochote kwajili ya kusapoti Uinjilishaji namba / Yas 0657793511 Jina Dominicus Haule pia M.pesa 0756379340 Dominicus g KANISA TV💒🙏, Utume popote ulipo🤝 Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾 #Apumzikekwaamani