У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#LIVE || ADHIMISHO MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA MAREHEMU PADRE DANIEL MACHA - MBEZI BEACH- JIMBO KUU DSM. • Karibu tushiriki Misa Takatifu ya kumwombea Marehemu Padre Daniel Macha kutoka Parokia ya Mtakatifu Dominiko Mbezi juu, Jimbo kuu la Dar es salaam. Misa Takatifu inaadhimishwa na Mhashamu Jude Thaddeus Ruwaichi OFMCap Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es salaam akishikiaana na Mhashamu Henry Mchamungu Askofu Msaidizi Jimbo kuu la Dar es salaam akishikiana na Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Thomas More Mbezi Beach Jimbo kuu la Dar es salaam Padre Romward Mkandala pamoja na Paroko wa Parokia Padre . #ApumzikekwaAmani Subcrible# Share #Comment. KANISA TV💒🙏, Utume popote ULIPO🤝 Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾 Raha ya Utume kushirikisha 🙏💒 Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. #karibu endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha KANISA TV ili iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine waweza kutuunga mkono kutuma chochote kwajili ya kusapoti Uinjilishaji namba / Yas 0657793511 Jina Dominicus Haule pia M.pesa 0756379340 Dominicus g KANISA TV💒🙏, Utume popote ulipo🤝 Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾 #Apumzikekwaamani