У нас вы можете посмотреть бесплатно FICHIO LA TAKA [MJA SI MKAMILIFU] OFFICIAL VIDEO | LIGHTHOUSE MINISTERS NRB | A-PICS | SIFATUNES или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
FICHIO LA TAKA [MJA SI MKAMILIFU] OFFICIAL VIDEO - THE LIGHTHOUSE MINISTERS NRB. Mja Si Mkamilifu! Hakika, hakuna mwanadamu mkamilifu. Tumekithiri kwa udhaifu, upungufu, na hila za mioyo yetu. Wema tumeusukuma mbali, na badala yake tunalaumiana, tunatupiana tope, tukisahau kwamba sisi sote ni wakosaji mbele za Mungu. Fahamu Zetu na zifunguliwe, tupate kubaini kwamba Ukristo wa Kweli ni maisha Kama ya Kristo! Wimbo huu ni sauti ya kutukumbusha kwamba Ukristo wa kweli unaonekana kwenye tabia, si maneno. Ni mwaliko wa kurudi kwenye unyenyekevu, huruma, na upendo wa Kristo ambao hatubebei wengine mizigo—tunaibeba pamoja. Tazama, guza moyo wako, kisha usambaze huu ujumbe na mtu mwingine anayeihitaji leo. Mungu akubariki kwa kusapoti huduma hii. 🎬 Video By: A-Pics Studios 🎙️ Audio By: SifaTunes Studios #MjaSiMkamilifu #FichioLaTaka #LighthouseMinistersNairobi #GospelKenya #OfficialVideo #WorshipKenya #NewGospelRelease #AminiNaUishi #music #sda