У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU WAWILI WANASWA NA DAWA ZA KULEVYA ARUSHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Kanda ya Kaskazini, imekamata watu wawili wakiwa na Kilogramu 363.45 za Dawa za kulevya aina ya Mirungi, ambazo zimeteketezwa katika Dampo la Jiji la Arusha. Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, Afisa Sheria wa Mamlaka hiyo Kanda ya Kaskazini Bw. Benson Mwaitenda, amesema kukamatwa kwa mirungi ni matokeo ya Operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya mkoa wa Arusha. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg