У нас вы можете посмотреть бесплатно Sayansi Inaishia Wapi? Majibu ya Biblia Kuhusu Mwanzo wa Ulimwengu - Part 2 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Huu ni mwendelezo wa mafundisho yaliyopita, tukiangazia eneo la sayansi inapoishia (ukomo wake). Na kupitia ukomo huo, Mungu anajitwalia utukufu. Kama hukutazama mafudnsiho yaliyopita, bonyeza link hapa chini kutazama • Sayansi Inaishia Wapi? Majibu ya Biblia Ku... ______ Katika video hii tunachunguza nadharia ya Big Bang na kuangalia maswali makubwa ambayo sayansi imeshindwa kuyajibu, kama vile: • Nini kilikuwepo kabla ya Big Bang? • Chanzo cha sheria za asili ni kipi? • Mwanzo wa wakati na nafasi unatoka wapi? • Je, kuna sababu ya kwanza isiyoathiriwa na wakati? Kupitia Biblia, tunaona majibu yanayoonesha kuwa Mungu anajithibitisha hata pale ambapo sayansi inaishia. Video hii haipingani na sayansi, bali inaonesha mipaka yake na nafasi ya ufunuo wa Mungu katika kuelewa uhalisia. Kama unapenda mafundisho ya kina yanayounganisha maarifa, imani, na ufahamu, hii ni sehemu sahihi. 👉 Subscribe kwa mafundisho zaidi ya MAARIFA NA UFUNUO 👉 Shiriki video hii na mtu anayependa kufikiri kwa kina 👉 Andika maoni yako: Je, unadhani sayansi inaweza kujibu maswali haya siku moja? #biblestudy #bigbang #mafundisho #revelation #theology #science #nenolamungu #maarifa #nenolaleo