У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU WATATU WAHUKUMIA KUNYOGWA HADI KUFA KIGOMA KWA KOSA LA KUMUUA MLINZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma imewahukumu Watu watatu adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mlinzi kwenye kampuni ya kichina iliyokuwa ikijenga barabara ya Kasulu-Kidawe wakati wakiiba kifaa aina ya control box. Inaelezwa siku ya tukio watatu hawa walipanga kuiba kifaa hicho lakini wakati wakiiba walipata upinzani mkubwa kutoka kwa Mlinzi huyo (Richard Chija) ambapo mapambano yao yalisababisha Mlinzi kuumia na kutokwa damu nyingi kabla ya kufariki.