У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kuanzisha biashara ya stationery: mtaji milioni 3 unatosha? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nimekuwa napata maswali mengi kutoka kwa wadau wakitaka kufahamu mtaji wa kuanzisha biashara ya stationery Kutosha au kutotosha kwa mtaji wa kuanzisha biashara ya stationery hutegemea vigezo vya mtaji na mahitaji ya anayetaka kuanzisha biashara ya stationery Kipindi cha leo cha Dira ya Ujasiriamali nitaeleza kama mtaji wa milioni 3 unatosha kuanzisha biashara ya stationery Tan Business Channel ina husika na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara. Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara. Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara. Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja. Tuna sisitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao. Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara. Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara. Kuhusu kuendeleza biashara tunafundisha umuhimu wa kutengeneza plan na kuwa na mifumo mizuri ya kuendesha biashara Tan Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television 1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz 4. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali