У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 ADA–TADEA WAZINDUA KAMPENI, WAAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI JIMBO LA PERAMIHO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chama cha ADA-TADEA kimezindua rasmi kampeni za uchaguzi mdogo katika Jimbo la Peramiho kwa kumnadi mgombea wake wa ubunge, Anna Kapinga, huku kikieleza dhamira ya kuwaletea wananchi maendeleo endapo kitapata ridhaa ya kuongoza jimbo hilo. uzinduzi iliofanyika Katika kata ya Litisha, Kijiji cha Litisha Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo, Anna Kapinga amesema kipaumbele chake kitakuwa kuboresha maisha ya wananchi wa Peramiho kwa kuimarisha huduma za kijamii na kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Amesema atahakikisha anasimamia upatikanaji wa huduma bora za afya, elimu, maji safi na salama pamoja na kuhamasisha shughuli za kilimo na ujasiriamali ili kuongeza kipato kwa wananchi. Aidha, amewaomba wakazi wa Jimbo la Peramiho kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi na kumpa kura za ushindi ili aweze kuwatumikia na kuwasemea katika vyombo vya maamuzi