У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 MWENYEKITI HALMASHAURI YA MDABA ATOA WITO WA USHIRIKIANO KATIKA UKUSANYAJI MAPATO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mdaba amewataka madiwani pamoja na wataalamu wa halmashauri hiyo kushirikiana kikamilifu katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuongeza ufanisi na kufanikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Amesema ushirikiano huo ni muhimu katika kuhakikisha malengo ya halmashauri yanafikiwa na wananchi wananufaika na huduma bora. Mwenyekiti huyo ametoa wito huo wakati wa kikao cha baraza la madiwani , ambapo amesisitiza uwajibikaji, uadilifu na kufanya kazi kwa pamoja kwa maslahi ya maendeleo ya Wilaya ya Mdaba