У нас вы можете посмотреть бесплатно KNUT yataka walimu waondolewe katika maeneo hatari Garissa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chama cha Kitaifa cha Walimu nchini (KNUT) kimetoa wito kwa Tume ya kuwaajiri Walimu (TSC) kuwahamisha walimu wasio wenyeji kutoka maeneo yanayokabiliwa na utovu wa usalama maeneo ya Garissa, kufuatia mauaji ya walimu wawili. Katibu wa chama hicho katika tawi la Garrisa amesisitiza kuwa walimu wengi wako hatarini hata katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na ulinzi mkali wa polisi . KNUT imeonya kuwa shule katika maeneo hayo huenda zisifunguliwe ikiwa usalama wa walimu hautazingatiwa na kwamba serikali inapaswa kuchukua hatua kabla ya maafa kutokea