У нас вы можете посмотреть бесплатно Hizi ni Biashara 3 za Huduma na Online za Kupata Elfu 20 Kila Siku! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vijana wengi hawaamini kuwa kuna uwezekano wa kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo na kupata faida kubwa. Wanadhani kuwa kuanzisha biashara inabidi uwe na mataju wa mamilioni ya pesa. Hiyo si kweli. Video hii inaeleza jinsi biashara 3 za mtaji mdogo zinaweza kupata faida ya shs 20,000 kwa siku Katika video hii utajifunza kwa hatua: 0.16 Utangulizi 1.23 Kujikumbusha videos za Jumatatu na Jumatano 3.13 Huduma za usafi majumbani na ofisini 7.06 Biashara ya maji ya chupa 9.58 WITO 10.52 Biashara ya mtandaoni na Freelancing 14.36 Mwisho How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo muhimu ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs