У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Ruto awarai raia wa Nyanza kumuunga mkono или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais William Ruto ameelekeza darubini yake katika eneo la Nyanza, akitafuta uungwaji mkono katika azma yake ya kutetea kiti cha urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, akisema kuwa maslahi ya wakazi wa eneo hilo yatashughulikiwa wakati wa utawala wake. Akihutubia wakazi wa mji wa Kisumu kwenye mzunguko mashuhuri wa Kondele, kiongozi wa taifa alisema mazungumzo yanayoendelea ya kuunda muungano wa kisiasa kati ya vyama vya UDA na ODM, yatalihakikishia eneo hilo nafasi ndani ya serikali na kutimiza ndoto ya aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga kwa taifa hili kuungana. Na kama mwanahabri wetu Wycliffe Oketch anavyotuharifu, rais pia aliusuta upande wa upinzani akisema wamekosa mwelekeo wa kisiasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive