У нас вы можете посмотреть бесплатно MAPENDEKEZO OFISI ZA WAFAMASIA WA MIKOA NA HALMASHAURI NA MASLAHI KWA WAFAMASIA BINGWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAPENDEKEZO OFISI ZA WAFAMASIA WA MIKOA NA HALMASHAURI NA MASLAHI KWA WAFAMASIA BINGWA Kutokana na ukuaji mkubwa wa sekta ya Afya pamoja na teknolojia kwa ujumla, mahitaji pia yamezidi kuongezeka. Ni kwa sababu hizo na nyingine kadhaa zinapelekea Chama Cha Wafamasia Tanzania kutoa mapendekezo kadhaa kuhusu Muundo wa Ofisi, kutambulika kwa wafamasia Bingwa nk. Akizungumza Kwenye mkutano mkuu wa chama cha wafamasia Tanzania (PST) rais wa chama hicho Mfamasia Fadhili hezekia ametoa mapendekezo hayo na mengine mengi ili kuoresha huduma za dawa na afya za wananchi kwa ujumla. Sikiliza makala hii kwenye YouTube channel yetu ya PDK Generation upate habari hizi kwa ukamilifu.