У нас вы можете посмотреть бесплатно Ukiwa na Ukimwi Unafungwa Jela : Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu UKIMWI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii, nakuletea mambo 10 ambayo watu wengi hawajui kuhusu HIV/AIDS — baadhi yake yatakushangaza sana! Nitazungumzia: Ukweli kuhusu maambukizi Sheria zinazohusiana na HIV Uwezekano wa kuishi maisha marefu Dhana potofu zinazozunguka mitandaoni Na mambo ambayo jamii haizungumzi sana 📌 Kumbuka: Elimu sahihi inaweza kuokoa maisha. 👉 Subscribe kwa maudhui zaidi ya afya yanayoelimisha na kufungua macho. 👉 Share video hii ili tuondoe upotoshaji kuhusu HIV. 🔔🔔🔔🔔🔔🔔 USHAURI BINAFSI / PRIVATE CONSULTATION 🔔🔔🔔🔔🔔🔔 🎯Kama ungependa Tujadili tatizo lako la afya moja kwa moja na mimi, unaweza kupanga mazungumzo ya ushauri binafsi. 🎯Katika mazungumzo hayo nitachukua muda kusikiliza kwa makini, kuelewa hali yako, na kukupa mwongozo wa kitaalamu unaokufaa. 🎯Kwa sababu ya ratiba yangu ya hospitalini, ninaweza kupokea idadi ndogo tu ya mazungumzo ya ushauri kila wiki. Gharama ya ushauri: TSh 25,000. Text Now 📱 WhatsApp: +255 673-37-38-39 To Book Consultation