У нас вы можете посмотреть бесплатно Nyoka Aibuka Kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu- Mama Akielezea Binti Alivyouwawa na Kuzikwa Sumbawanga или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu alikuwa akisikiliza malalamiko leo Machi 13, 2026 kwa wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika-Katavi Nyoka aliibuka wakati mama mmoja akieleza namna binti yake alivyouwawa huko Sumbawanga na kuzikwa kimya kimya na familia ya mwanaume aliyekuwa akiishi na binti yake. Mama huyo ameelezea mikasa mbalimbali iliyomkuta akifuatilia suala hilo, ikiwemo kupata uchungu wa kujifungua akiwa njiani. Anaeleza kuwa baada ya kwenda Mahakamani walikubaliana familia husika imlipe mahari ya shilingi milioni 4.5.Tukio la nyoka limetokea akiwa katikati ya kueleza malalamiko yake. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.