У нас вы можете посмотреть бесплатно Kesi za Vijana Watatu Zinazowakabili kwa Uhaini na Wizi Zapigwa Kalenda Kisutu Mpaka Machi 16, 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Kesi mbili tofauti zinazowakabili vijana watatu (3) wanaodaiwa kuvunja, wizi na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa za wizi zilipangwa kutolewa uamuzi leo Machi 13, 2026. Hata hivyo, uamuzi wa kesi zote umeshindwa kutolewa na badala yake umehairishwa hadi Machi 16, 2026. Sababu iliyotajwa ni Hakimu Mkazi Mkuu Hassan Makube anayesikiliza kesi hizo kutowepo ofisini kutokana na dharura . Vijana hao wanaendelea kukaa rumande kutokana na kesi nyingine ya uhaini inayowakabili, iliyofunguliwa Novemba 2025. Kesi hiyo inawahusisha na maandamano ya vurugu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 (Siku ya Uchaguzi Mkuu) na siku zilizofuata, yaliyosababisha uharibifu wa mali za umma na binafsi na vifo . Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.