У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU WENYE UALBINO WAFUNGUKA HAYA KUELEKEA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026 2027 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WATU WENYE UALBINO WAFUNGUKA HAYA KUELEKEA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026 2027 Chama cha watu wenye ualbino mkoani Mwanza TAS kimeiomba serikali Kuzingatia mahitaji maalum ya watu hao katika sekta ya afya na elimu katika mchakato wa bajeti kuu unaoendelea Wametoa Maoni hayo wakati wa kikao kazi kilichokuwa kikijadili juu ya vipaumbele vya mahitaji muhimu kwa watu hao kwenye bajeti kuu ya serikali Mwenyekiti wa chama hicho Masumbuko Marco amesema katika mchakato wa bajeti unaoendeleo nivyema serikali ikawasaidia kuendelea kuwaboreshea mahitaji yao muhimu katika sekta ya elimu na sekta ya afya Akizungumzia lengo la kikao hicho Yusuph Bwango kutoka shirika la ACTION AID linafadhili mradi wa Kesho an”gavu kwa Watoto wenye ualbino amesema nimwendelezo wa uchambuzi wa bajeti ikiwa ni Pamoja na kukusanya maoni kwa watu wenye ualbino Kwa upande wao baadhi ya watu wenye ualbino walioshiriki katika kikao hicho wamelishukuru shirika la Action AID kwakuendelea kushughulikia changamoto zao huku pia wakiishukuru serikali kwa jitiada inazozifanya katika kuhakikisha wanaboreshewa mahitaji yao muhimu