У нас вы можете посмотреть бесплатно CLOUDSFM UCHAMBUZI NA MATUKIO YOTE :Mchezo Umemalizika ⚪NAMUNGO 0⃣ vs. 🔰YANGA 1⃣ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NBCPL : Mchezo Umemalizika ⚪ #namungo0⃣ 🔰 #yanga1⃣ ⚽ #Depu Umeuonaje Mchezo? Una Kipi Cha Kuzungumza? #banyaleotv "Kama kuna kitu naweza kukiwekea dhamana ya mali zangu zote nilizonazo ni goli la Okello kutokuwa mbali, ndani ya wiki 3 zijazo atakuwa na goli na Assist, sisi tuliopewa karama za kujua mambo ya kesho na keshokutwa tunajua mwezi wa 3 atakuwa na magoli na Assists" "Unaelekea kwenye Dabi, halafu unacheza na Namungo inayofundishwa na Mgunda, ukipata alama 3 sema Alhamdulillah, wakubwa watakuwa wamenielewa. Bado tuna kibarua dhidi ya JKT, hizi mechi mbili ni ngumu kuliko Derby yenyewe kwasababu zina macho ya watu wengi" Ally Kamwe - Meneja Habari Na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga