У нас вы можете посмотреть бесплатно Mtuhumiwa wa ubakaji auwawa na wananchi Kiambu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Mwanamume mmoja anayeshukiwa kwa ubakaji eneo la Ndeiya, Kaunti ya Kiambu, amepigwa mawe hadi kufa na wakazi wenye ghadhabu baada ya kunaswa akijaribu kumnajisi msichana mdogo asubuhi ya leo. Kisa hicho kilitokea katika kijiji cha Tiekunu, ambapo mshukiwa alinaswa na mkazi aliyekuwa akikata majani kando ya njia inayotumika na wanafunzi kuelekea shuleni. Kulingana na wakazi, wameripoti visa zaidi ya kumi vya unajisi vinavyomhusisha, lakini hakuna hatuazilizochukuliwa. Chifu wa eneo hilo, Jeremiah Gakera, amesema uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha tukio hilo huku akiwataka wakazi kutochukua sheria mikononi mwao, bali kuripoti visa vya uhalifu kwa mamlaka husika ili hatua za kisheria zichukuliwe. Msichana huyo, mwanafunzi wa darasa la tatu, alikimbizwa katika kituo cha afya cha Ndeiya kwa matibabu ya dharura, huku mwili wa mshukiwa ukipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Tigoni. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / ktnnewskenya Follow us on Twitter: / ktnnewske Like us on Facebook: / ktnnewskenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on / ktnnews Like us on / ktnnews