У нас вы можете посмотреть бесплатно Kutengeneza Hesabu za Biashara Yenye Faida: Gharama za Mauzo! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unafahamu kuwa asili mia 50-60 ya mapato ya biashara hutumika kununua bidhaa zilizouzwa? Hii ina maana kuwa usipokuwa mwangalifu basi gharama ya mauzo na utunzaji bidhaa huweza kusababisha biashara yako kupata hasara. Sidhani kama utakubali biashara yako ifilisike kwa sababu umeshindwa kuweka taratibu nzuri za kutunza na kutengeneza hesabu za gharama za mauzo. Katika video hii nitakueleza taratibu nzuri za kutunza na kutengeneza hesabu za gharama ya mauzo sahihi za bidhaa iliyouzwa? 1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439 4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz 5. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali