У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
IJUMAA KUU : SIKU YA KUKUMBUKA KUFA KWA YESU SOMO: ALITESWA NA KUFA KWA AJILI YETU. MHUBIRI :DEAN REV. CHEDIEL LWIZA .................................................................................................................................... ZABURI 22: 12 - 18 12 Mafahali wengi wamenizunguka, Walio hodari wa Bashani wamenisonga; 13 Wananifumbulia vinywa vyao, Kama simba apapuraye na kunguruma. 14 Nimemwagika kama maji, Mifupa yangu yote imeteguka, Moyo wangu umekuwa kama nta, Na kuyeyuka ndani ya moyo wangu. 15 Nguvu zangu zimekauka kama gae, Ulimi wangu waambatana na taya zangu; Unaniweka katika mavumbi ya mauti 16 Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenidunga mikono na miguu. 17 Naweza kuihesabu mifupa yangu yote; Wao wananitazama na kunikodolea macho. 18 Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura. WAEBRANIA 10: 1 - 7 1 Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wowote kuwakamilisha wakaribiao. 2 Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi? 3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. 4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. 5 Kwa hiyo alipokuja ulimwenguni, alisema, Dhabihu na matoleo hukutaka, Lakini mwili uliniwekea tayari; 6 Sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi hukupendezwa nazo; 7 Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la kitabu nimeandikiwa) Niyafanye mapenzi yako, Mungu. YOHANA 19: 1 -7 1 Basi ndipo Pilato alipomtwaa Yesu, akampiga mijeledi. 2 Nao askari wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi la zambarau. 3 Wakawa wakimwendea, wakisema, Salamu! Mfalme wa Wayahudi! Wakampiga makofi. 4 Kisha Pilato akatokea tena nje, akawaambia, Mtu huyu namleta nje kwenu, mpate kufahamu ya kuwa mimi sioni hatia yoyote kwake. 5 Ndipo Yesu alipotoka nje, naye amevaa lile taji la miiba, na lile vazi la zambarau. Pilato akawaambia, Tazama, mtu huyu! 6 Basi wale wakuu wa makuhani na watumishi wao walipomwona, walipiga kelele wakisema, Msulubishe! Msulubishe! Pilato akawaambia, Mtwaeni ninyi basi, mkamsulubishe; kwa maana mimi sioni hatia kwake. 7 Wayahudi wakamjibu, Sisi tunayo sheria, na kwa sheria hiyo amestahili kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu. ..................................................................................................................................... KARIBU UMTOLEE MUNGU SADAKA YAKO KUPITIA NAMBA: ----------------------------------------------- WAKALA WA M-PESA & NAMBA YA MPESA 579 579 4 || 0757 - 391 - 174 JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL MAENDELEO BANK A/C NO 013 792 746 021 JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL Kwa Taharifa matukio mbalimbali tembelea katika mitandao yetu: Instagram page: / kkkt_azaniafront_cathedral Website: https://www.azaniafront.org/ Facebook: / kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079 #azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour