У нас вы можете посмотреть бесплатно WAHITIMU WA CHUO CHA BCBT BIHARAMLO WAPEWA NENO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAHITIMU WA CHUO CHA BCBT BIHARAMLO WAPEWA NENO. Vyuo na taasisi za elimu zimehimizwa kuboresha mitaala ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira ili kuwasaidia wahitimu kuwa na uwezo wa kujitegemea na sio kumaliza shule na kuwa tegemezi. Wito huo umetolewa leo na kaimu mkurugenzi wa benk ya NMB wilaya ya biharamulo kwenye mahafali ya nne ya chuo cha elimu ya biashara na teknolojia ambapo amewahasa wanafunzi waliomaliza kwenda kujiajili na sio kwenda kusubilia kuajiliea. Kwa upande wake mkurugenzi wa chuo cha elimu ya biashara na teknolojia biharamulo bcbt amewahasa vijana ambao wamemaliza astashahada,na stashahada Kwenda kuyaishi yale ambayo wamefundishwa na walimu wao katika chuo hicho . Nae Mkuu wa chuo cha cha elimu ya biashara na teknolojia biharamulo bcbt ameeleza changamoto katika jamii hiyo licha ya kuwa vyuo vya ufundi na fursa za elimu kwa vitendo, idadi ya wanafunzi wanaojiunga kutoka Biharamlo ni ndogo Hadi sasa, zaidi ya wanafunzi 79 wamehitimu lakini hakuna mwanafunzi yeyote aliyehitimu kutoka Biharamlo.